Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Acheni watu wafanye majukumu yao, wangemuachia bado ungelalamika.Mambo ya Tff yanatia kinyaa.
Uyo kocha amesha fundisha baadhi ya timu kama Gwambina, Mtibwa n.k Tena Tff hiihii shida apo timu ya Azam Under 17 imeshinda ubingwa na takwimu zote zina wabeba Azam na Kocha wao alistahili kuchukua iyo tuzo ya Kocha Bora.Acheni watu wafanye majukumu yao, wangemuachia bado ungelalamika.
Kuna watu walikuwa wachapakazi wazuri sana na walileta tija inayoonekana hata kwa macho katika maeneo waliyokuwa wakifanyia kazi. Lakini lilipofika suala la kukagua vyeti halisi na feki, waliondolewa kazini bila kujali kazi nzuri waliyofanya. Acha mamlaka zifanye kazi yakeUyo kocha amesha fundisha baadhi ya timu kama Gwambina, Mtibwa n.k Tena Tff hiihii shida apo timu ya Azam Under 17 imeshinda ubingwa na takwimu zote zina wabeba Azam na Kocha wao alistahili kuchukua iyo tuzo ya Kocha Bora.
Fitina imekuja baada ya Badru kutakiwa kuzawadiwa iyo tuzo, ikabidi itafutwe Sababu ya ku mpora na kumpa kocha wa Simba Under 17.
Inamaana Azam wasingekua Mabingwa na takwimu kuwabeba Aya tunayo yaona yasingekuwepo.
Tunaposema Tff ni chupri, tuna maanisha.
Ndio tunasema takwimu nzuri zinazomfanya astahili kupewa Tuzo zimemponza. Isingekuwa iyo tuzo hakuna mtu ange hangaikanaye.Kuna watu walikuwa wachapakazi wazuri sana na walileta tija inayoonekana hata kwa macho katika maeneo waliyokuwa wakifanyia kazi. Lakini lilipofika suala la kukagua vyeti halisi na feki, waliondolewa kazini bila kujali kazi nzuri waliyofanya. Acha mamlaka zifanye kazi yake
Kwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha🤣🤣🤣🤣🤣Naskia leo eti kajiandikisha kusoma leseni c ya caf [emoji16][emoji16][emoji16] huyo ni wa kutia bakora kabisa
Kama ana vyeti sahihi kwanini amejiandikisha leseni c ya caf tumia akili na weweKwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umaweza kuiba leo ukakamatwa mwakaniKwa hiyo leo ndio tff wanajua kuwa hana vyeti ila wakati anafundisha gwambina na mtibwa hawalikulijua hilo? Alafu wanasema kuwa wanataka makocha waende nje kufundisha🤣🤣🤣🤣🤣
Wee umenielewa lakini au ndio umejibu tuuKama ana vyeti sahihi kwanini amejiandikisha leseni c ya caf tumia akili na wewe