Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 25, 2022 #21 Kitimoto said: View attachment 2303581 Click to expand... Hii ndambi hatari
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Jul 25, 2022 #22 Chukwu emeka said: Yanga fukuzeni huyu LUNATIC,aichafua timu..... Inawezekana tifuatifua Wana mapungufu yao ila kukaribisha hili jinga kwenye Brand yetu ni kichefuchefu Click to expand... Bila haji Yanga itakufa mkuu. Manara nimkubwa kuliko yanga ukae ukijua hivyo. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Chukwu emeka said: Yanga fukuzeni huyu LUNATIC,aichafua timu..... Inawezekana tifuatifua Wana mapungufu yao ila kukaribisha hili jinga kwenye Brand yetu ni kichefuchefu Click to expand... Bila haji Yanga itakufa mkuu. Manara nimkubwa kuliko yanga ukae ukijua hivyo. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 Jul 25, 2022 #23 Yani ndiyo hiyo hoja moja wameona waijibu 🤣🤣🤣 Mbona hawajajibu juu ya malalamiko ya kutoa hukumu kwa kutumia kanuni ambazo hazijasajiliwa?
Yani ndiyo hiyo hoja moja wameona waijibu 🤣🤣🤣 Mbona hawajajibu juu ya malalamiko ya kutoa hukumu kwa kutumia kanuni ambazo hazijasajiliwa?
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Jul 25, 2022 #24 Nas Mapesa said: Tatizo ni kuongozwa na mtu ambaye sio mtanzania huko kwao somalia hapat hata ujumbe fa.ala huyo Click to expand... Mbona nyinyi mmempa na uraisi kabisa msomali hapo klabuni kwenu
Nas Mapesa said: Tatizo ni kuongozwa na mtu ambaye sio mtanzania huko kwao somalia hapat hata ujumbe fa.ala huyo Click to expand... Mbona nyinyi mmempa na uraisi kabisa msomali hapo klabuni kwenu
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Jul 25, 2022 #25 mpiga vichwa said: Bila haji Yanga itakufa mkuu. Manara nimkubwa kuliko yanga ukae ukijua hivyo. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Acha upumbavu
mpiga vichwa said: Bila haji Yanga itakufa mkuu. Manara nimkubwa kuliko yanga ukae ukijua hivyo. Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app Click to expand... Acha upumbavu