Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutu vipi tena Mkuu??thubutu...........
Sidhani kama kuwa na wachezaji 10 ni tatizo,Tatizo tatizo letu ni ubora wa kocha?
TFF hao hao wameruhusu timu kusajili wachezaji kumi wa kigeni.
Huyo Amulike atawapanga akina Okwi, Kagere na wengineo?
Aliyeturoga kesha kufa kitambo.
Kwa wachezaji gani waliopo??hata aletwe zidane kwa Gadiola na wengine kwa wachezaji hawa hakuna kituSafi huenda akawa na jipya kwa timu yetu
Sasa Itakuwa mbaya zaidi kuliko siku za nyuma. National team basically ni Yanga, Simba, Azam na Mtibwa.Sidhani kama kuwa na wachezaji 10 ni tatizo,
Hivi huko nyuma Taifa stars ilikua inafanya nini?
Kama ilikua haifanyi vzr ujue kabla ya kuruhusu wachezaji 10 ujue tulikua tunaproduce low quality ya wachezaji wetu.
Saizi mi naona hi ni fursa ya kutufanya tuzalishe wachezaji bora mana ka mchezaji atakua anapata namba kwenye timu ambayo itakua na wachezaji wengi wa kigeni ujue ni bora .
It is better to produce low quantity with high quality than high quantity with low quality.
Kwa nini asicheze kama ataonesha kiwango bora,Sasa Itakuwa mbaya zaidi kuliko siku za nyuma. National team basically ni Yanga, Simba, Azam na Mtibwa.
Hao wa ndani watatoka wapi kwenye timu hizo. Salamba atacheza mbele ya Kagere?
Hataki kutoa10% ya Mshahara wakehivi kwa nini hawampi timu polsen!!?..mbona ilikua inafanya vizuri
Mkuu huyu coach hana record kwahiyo niwa bei rahisi, hapo wajanja washapiga pesa asilimia kadhaaKaishawahi fundisha kwa mafanikio timu gani