TFF yamteua Emmanuel Amunike kuwa kocha mpya wa Taifa Stars

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926

Rais wa TFF Wallace Karia muda huu amemtangaza mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) Emmanuel Amunike kuwa kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kwa mkataba wa miaka miwili.
 
hivi kwa nini hawampi timu polsen!!?..mbona ilikua inafanya vizuri
 
Tatizo tatizo letu ni ubora wa kocha?
TFF hao hao wameruhusu timu kusajili wachezaji kumi wa kigeni.
Huyo Amulike atawapanga akina Okwi, Kagere na wengineo?
Aliyeturoga kesha kufa kitambo.
 
Tatizo tatizo letu ni ubora wa kocha?
TFF hao hao wameruhusu timu kusajili wachezaji kumi wa kigeni.
Huyo Amulike atawapanga akina Okwi, Kagere na wengineo?
Aliyeturoga kesha kufa kitambo.
Sidhani kama kuwa na wachezaji 10 ni tatizo,
Hivi huko nyuma Taifa stars ilikua inafanya nini?
Kama ilikua haifanyi vzr ujue kabla ya kuruhusu wachezaji 10 ujue tulikua tunaproduce low quality ya wachezaji wetu.
Saizi mi naona hi ni fursa ya kutufanya tuzalishe wachezaji bora mana ka mchezaji atakua anapata namba kwenye timu ambayo itakua na wachezaji wengi wa kigeni ujue ni bora .
It is better to produce low quantity with high quality than high quantity with low quality.
 
Sasa Itakuwa mbaya zaidi kuliko siku za nyuma. National team basically ni Yanga, Simba, Azam na Mtibwa.
Hao wa ndani watatoka wapi kwenye timu hizo. Salamba atacheza mbele ya Kagere?
 
Sasa Itakuwa mbaya zaidi kuliko siku za nyuma. National team basically ni Yanga, Simba, Azam na Mtibwa.
Hao wa ndani watatoka wapi kwenye timu hizo. Salamba atacheza mbele ya Kagere?
Kwa nini asicheze kama ataonesha kiwango bora,
Sasa kama salamba hatacheza mbele ya kagere ndo tutegemee tuwafunge timu kama Senegal?
Lazima ajitume ili awe juu ya Kagere ili sasa tuseme kweli tuna straka,
Sio kuwalemaza wakajazana wao mwisho tunakutana na Uganda tunapigwa.
 
hahahaha karia ana mahaba na amunike fundi wa soka wa nigeria huyo
 
Kwanini Hawakutangaza Makocha wakaomba Kibarua???Hivi Tz mboa kila nyanja tunaigiza Uswahili!!!Hii TFF ni ileile tu.Shehe yuleyule kanzu mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…