TFF yapitisha majina ya wagombea Uongozi Yanga

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha majina ya wagombea nyadhifa mbalimbali za uongozi ndani ya klabu ya Yanga.

Nafasi hizo ni zile za Uenyekiti, Umakamu na zile za Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Zoezi linalosubiriwa hivi sasa ni la mapingamizi pekee kabla ya kuelekea kwenye kampeni na baadaye uchaguzi ambao utafanyika Januari 13 2019.

1.jpg
 
View attachment 945759
Dalili nikama Yanga wamewasusia
 
inasemekana manji amepata Mkanda ukiwarekodi viongozi wa tff na bmt wakipanga kupokea rushwa kukata jina la manji katika wagombea uenyekiti. Tff ya sasahivi ni watu wamekuja kupooza shida zao sio kuongoza
 
Huenda ndio zilikuwa sababu za kelele nyingi za "achukue fomu"
 
Back
Top Bottom