Heavy Metal
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 881
- 2,077
Jonesia Rukya kuamua mechi ya watani wa jadi kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio maofisa watakasimamia mchezo wa keshoView attachment 2588806
Kesho Yanga anashinda!! Simba wahesabie tu maumivu.Jonesia Rukya kuamua mechi ya watani wa jadi kesho View attachment 2588806
Mtibwa 0-3 Baleke Refa Jonesia
Baleke 3-0 Ihefu Refa Jonesia
Kipigo cha Uto is loading
Ndio akili zenu zilipo hapa na baadhi yenu ndio huwa mnazimia kabisa. Kichapo kiko palepale hata achezeshe ustadh MangunguMtibwa 0-3 Baleke Refa Jonesia
Baleke 3-0 Ihefu Refa Jonesia
Kipigo cha Uto is loading
Hivyo vifupi hata sivielelewi, halafu mechi taifa au chamazi?Jonesia Rukya kuamua mechi ya watani wa jadi kesho View attachment 2588806
hivi uliwezaje kua mwana Chamdema? mbona reasoning capacity yako ni ndogo sanaMtibwa 0-3 Baleke Refa Jonesia
Baleke 3-0 Ihefu Refa Jonesia
Kipigo cha Uto is loading
Unajua kusoma?Hivyo vifupi hata sivielelewi, halafu mechi taifa au chamazi?
Mchuzi moto ugali moto haaa haaaAahahaa
mkigongwa tu, haraka haraka Uzi WA fei totoMtibwa 0-3 Baleke Refa Jonesia
Baleke 3-0 Ihefu Refa Jonesia
Kipigo cha Uto is loading
Hapana, najua kuandika tuUnajua kusoma?
Mnategemea kubebwa kama kwenye mechi na geita???litakufa jitu shauri yenuKesho Yanga anashinda!! Simba wahesabie tu maumivu.
Kuku wetu, manati ya nini?Mnategemea kubebwa kama kwenye mechi na geita???litakufa jitu shauri yenu