TFF yatoa Ratiba ya michezo iliyosalia ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL) ambayo inatarajia kuanza kuchezwa kuanzia June 13

TFF yatoa Ratiba ya michezo iliyosalia ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL) ambayo inatarajia kuanza kuchezwa kuanzia June 13

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF limetoa ratiba ya ligi kuu Baara na wakianzia na viporo kwa kuchezwa katika Viwanja tofauti tofauti.
Masuala ya michezo yalisimamishwa Machi 17 na Serikali kutokana na janga la Virusi vya Corona

1591009624157.png
 
Wamesahau kuweka muda kwenye mechi ya Simba SC vs Ruvu Shooting
 
Muda upo chini ya hyo mechi ya Azam cz zote cku moja na mzunguka sawa
hapana sio muda huo, ila nilisikia kwenye kipindi cha michezo wanasema hawajaweka mda kwa sababu pale taifa kulikua na tatizo la taa za uwanjani, kwa hiyo wanawasiliana na wahusika waone kama zimerekebishwa mechi ipigwe usiku au kama bado itapigwa mchana
 
Back
Top Bottom