Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ukiona hivyo kuna dili za watu hapoWamesahau kuweka muda kwenye mechi ya Simba SC vs Ruvu Shooting
Hapo mbeleko inaandaliwaWamesahau kuweka muda kwenye mechi ya Simba SC vs Ruvu Shooting
Muda upo chini ya hyo mechi ya Azam cz zote cku moja na mzunguka sawaWamesahau kuweka muda kwenye mechi ya Simba SC vs Ruvu Shooting
Wewe ndio unajua kutafsiri sana,mbona kila match imewekwa muda wake inakuwaje ya Simba sio isiwekwe muda?Muda upo chini ya hyo mechi ya Azam cz zote cku moja na mzunguka sawa
hapana sio muda huo, ila nilisikia kwenye kipindi cha michezo wanasema hawajaweka mda kwa sababu pale taifa kulikua na tatizo la taa za uwanjani, kwa hiyo wanawasiliana na wahusika waone kama zimerekebishwa mechi ipigwe usiku au kama bado itapigwa mchanaMuda upo chini ya hyo mechi ya Azam cz zote cku moja na mzunguka sawa