Yanga hawana uadui huo na simba.. Ndio maana mliingia bure tulivyocheza na TP mazembe... Mwaka jana Yanga angeulizwa Azam au Simba nani apewe nafasi ya kucheza shirikisho wangepewa simbasasa kama issue ni ada tu mbona wanaweza kukata tena!! wasubirie tu kdg yangawatawapa ada ya kukatia hio rufaa
Muda umeshapitasasa kama issue ni ada tu mbona wanaweza kukata tena!! wasubirie tu kdg yangawatawapa ada ya kukatia hio rufaa
Acha ufala wewe ndalaaa, ulitaka ganda la ndizi uteleze?Huyu mpuuzi Malinzi na genge lake la wahuni Simba kina Kaburu wanatuharibia mpira wetu mamaae zao
Kukata rufaa ile iwe validi kuna taratibu zake kwanza kuna time frame, pia kuna Ada ya kulipa nk usipotimiza hiyo rufaa haiwezi kuwa registered usiongee Kama mjingaVery strange. Kanuni imevunjwa mchana na TFF wanajua
Hata hiyo ya Polisi haina maana. Ilibidi wachukue hatua wenyewe
Ni kichekesho kusema kanuni ya kukata rufaa haikutimizwa. Kwa hiyo kosa lifumbiwe macho? Wanakaribisha rushwa watu wachukue mpunga ili wasikate rufaa
Mafala ni nyie mnaotaka mteremko kila siku, kadi ya njano hajib mkapotezea laana mkakosa ubingwa na hii laana ya kupora haki ya polisi mnapigwa round ijayo...mnatuaribia soka letuAcha ufala wewe ndalaaa, ulitaka ganda la ndizi uteleze?
Kosa hilo wala halihitaji rufaa. Kujua tu kwamba kanuni imevunjwa inatosha.Kukata rufaa ile iwe validi kuna taratibu zake kwanza kuna time frame, pia kuna Ada ya kulipa nk usipotimiza hiyo rufaa haiwezi kuwa registered usiongee Kama mjinga
Tatizo hamjui sheria kwa hiyo kuongea na mtu asiyejua sheria ni kumuonea basi hizo claims zaki wapelekee TFF watakusaidiaKosa hilo wala halihitaji rufaa. Kujua tu kwamba kanuni imevunjwa inatosha.
Msiwe wajinga kukataa ukweli kwamba Kaburu ameteleza
Sheria na kanuni ni vitu viwili tofautiTatizo hamjui sheria kwa hiyo kuongea na mtu asiyejua sheria ni kumuonea basi hizo claims zaki wapelekee TFF watakusaidia
Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
hawa Tff hawaaminiki hata suala la kessy walilifumbia macho hivihivi eti yanga inapigwa fainiVery strange. Kanuni imevunjwa mchana na TFF wanajua
Hata hiyo ya Polisi haina maana. Ilibidi wachukue hatua wenyewe
Ni kichekesho kusema kanuni ya kukata rufaa haikutimizwa. Kwa hiyo kosa lifumbiwe macho? Wanakaribisha rushwa watu wachukue mpunga ili wasikate rufaa
mpira wenu ulishawahi kuwa mzuri mpaka wawaharibie?Huyu mpuuzi Malinzi na genge lake la wahuni Simba kina Kaburu wanatuharibia mpira wetu mamaae zao
Very strange. Kanuni imevunjwa mchana na TFF wanajua
Hata hiyo ya Polisi haina maana. Ilibidi wachukue hatua wenyewe
Ni kichekesho kusema kanuni ya kukata rufaa haikutimizwa. Kwa hiyo kosa lifumbiwe macho? Wanakaribisha rushwa watu wachukue mpunga ili wasikate rufaa
Afadhali kumbe hisia zangu zilikuwa za kweli
Kukata rufaa ile iwe validi kuna taratibu zake kwanza kuna time frame, pia kuna Ada ya kulipa nk usipotimiza hiyo rufaa haiwezi kuwa registered usiongee Kama mjinga
wakikata tena wataambiwa mda umeeisha wa kukata rufaasasa kama issue ni ada tu mbona wanaweza kukata tena!! wasubirie tu kdg yangawatawapa ada ya kukatia hio rufaa