TFF yawafungia viongozi wa Yanga SC miaka 3 kwa kukaidi maamuzi ya Serikali na Shirikisho hilo

Njaa ikisha hamia kichwani ndo tatizo

Hivi ikatokea Manji akarudi Yanga afu asitoe fedha zake ,je wanachama na mashabiki wataendelea kuwa na imani nae
 
Hivi ukifungiwa maisha kama hivyo, na faini juu ,je usipotoa hiyo faini nini kinafuata
 
Kawaida sana hiyo, mbona Lipumba alijuzuru, alafu baada ya mwaka akarudi kwenye nafasi yake na hadi Leo hii ndiye M.kiti halali was CUF. Mwacheni Manji arudi kwenye nafasi yake bwana, wacheni fitina.
 
Hivi ukifungiwa maisha kama hivyo, na faini juu ,je usipotoa hiyo faini nini kinafuata
Miaka mitatu mutawalia siyo maisha..

Hata hivyo Mashabiki wa timu wakifanya vurugu na kusababisha kuharibu vitu kama viti au kuvunja vioo, klabu ndo itabeba jukumu la kulipa na si mshabiki

Kwa mukhutadha huo jibu unalo hapo
 
Hapa palipofikia mbona mtasalimu amri tu na kukubali kufanya uchaguzi

Hatuwezi kufungiwa labda kwa ajili yenu, mtashushwa daraja huko chini kwenye Ndondo huku wanaotaka mpira wakiendelea[emoji3]
 
Tulia wewe chura na punguza Munkar..Ulidhani TFF ya Malinzi hii, huna cha kuandika piga kimya kila siku maneno hayo hayo tu huchoki.!!
Hii tff ya Kingese imejaa mbumbumbu watupu wakisikia Manji wanapagawa
 
Miaka mitatu mutawalia siyo maisha..

Hata hivyo Mashabiki wa timu wakifanya vurugu na kusababisha kuharibu vitu kama viti au kuvunja vioo, klabu ndo itabeba jukumu la kulipa na si mshabiki

Kwa mukhutadha huo jibu unalo hapo
Sijakupata vizuri mkuu, naomba ufafanuzi Wa swali langu....Nimeuliza nini kinatokea endapo hujalipa hiyo faini NB:Siyo mpenzi Wa Simba wala Yanga
 
Hii tff ya Kingese imejaa mbumbumbu watupu wakisikia Manji wanapagawa
TFF na Mwakyembe wote Msimbazi, wanataka tukose nguvu za kisu, ila tutawapiga chini tu, wewe subiri, kama wananchama wanamtaka kibopa wao wanawashwa nini?! Tutawafyekelea mbali mahakamani...
 
Tulia wewe chura na punguza Munkar..Ulidhani TFF ya Malinzi hii, huna cha kuandika piga kimya kila siku maneno hayo hayo tu huchoki.!!
Bora kupata maradhi yoyote lakini siyo ya umbumbumbu
 
Yule mzee sijui kama nimwanasheria kweli, maana presentation yake kwa waandishi wa habari anakuwa kama jitu lisilo na uelewa wowote, kwa style hii mpira wetu tusuhbilie hadi miaka ya 2090 huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…