N ndugu mteja Senior Member Joined Sep 6, 2022 Posts 121 Reaction score 227 May 12, 2023 #21 Hapa hakuna shaka kuwa Kitayosce nafasi yao inafaa kutiliwa shaka.
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 May 12, 2023 #22 OKW BOBAN SUNZU said: Unadhani kwa nini hawamgusi Haji Manara? Ndio mratibu Click to expand... Anaratibu had mechi za kimataifa sio😁
OKW BOBAN SUNZU said: Unadhani kwa nini hawamgusi Haji Manara? Ndio mratibu Click to expand... Anaratibu had mechi za kimataifa sio😁
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 May 12, 2023 #23 OKW BOBAN SUNZU said: Hii ni hatua nzuri sana,lakini isiishie hapa tu itafune mpaka timu kubwa. Yanga inacheza sana hii michezo ya kununua mechi Click to expand... Wewe ni zaidi ya mpuuzi
OKW BOBAN SUNZU said: Hii ni hatua nzuri sana,lakini isiishie hapa tu itafune mpaka timu kubwa. Yanga inacheza sana hii michezo ya kununua mechi Click to expand... Wewe ni zaidi ya mpuuzi
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 15,265 Reaction score 29,991 May 12, 2023 #24 SAYVILLE said: Kuna siku isiyo na jina tutakuja kusikia voice notes za injinia akiinjinia anibiteni za mchongo. Click to expand... Huu muwasho ulio nao unahitaji mkuno heavy
SAYVILLE said: Kuna siku isiyo na jina tutakuja kusikia voice notes za injinia akiinjinia anibiteni za mchongo. Click to expand... Huu muwasho ulio nao unahitaji mkuno heavy
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 May 12, 2023 #25 Mr kenice said: Anaratibu had mechi za kimataifa sio😁 Click to expand... Vipi mbona unanichekea? Nini ambacho hukielewi
Mr kenice said: Anaratibu had mechi za kimataifa sio😁 Click to expand... Vipi mbona unanichekea? Nini ambacho hukielewi
Kitimoto JF-Expert Member Joined Aug 25, 2012 Posts 6,941 Reaction score 7,808 May 12, 2023 #26 OKW BOBAN SUNZU said: Hii ni hatua nzuri sana,lakini isiishie hapa tu itafune mpaka timu kubwa. Yanga inacheza sana hii michezo ya kununua mechi Click to expand... Mmoja wapo wa Wapuuz.i
OKW BOBAN SUNZU said: Hii ni hatua nzuri sana,lakini isiishie hapa tu itafune mpaka timu kubwa. Yanga inacheza sana hii michezo ya kununua mechi Click to expand... Mmoja wapo wa Wapuuz.i