TFF yazindua jezi mpya za Taifa Stars

Hivi mi najiuliza Tff haeana designer wazuri wa Jezi, hizi Jezi hapana, ni mbaya sana, bora Rangi nyeupe kwa T shirt Na bukta nyeusi zingependeza zaidi
 
TFF thafadhali sana tunaomba mturudishie Jezi nyeupe!
 
Hivi mi najiuliza Tff haeana designer wazuri wa Jezi, hizi Jezi hapana, ni mbaya sana, bora Rangi nyeupe kwa T shirt Na bukta nyeusi zingependeza zaidi
Nyeupe nooo, big noooo....
 
Jezi ni nzuri sasa mbona mbavuni kama wameweka ramani kama ya uto au naona vby.
 
Yanga ni timu ya Wananchi wa Tanzania na timu ya Taifa nayo ni ya Wananchi wa Tanzania!

Ni tofauti kabisa na ile timu ya Wahindi wa Bombay ya Mwamedi fc.

Hongera TFF kwa uzi mzuri. Mtuletee na huku Mikoani, tutanunua.
Yule kocha hakukosea. Uneducated na hawajui mpira kaz ni kubwekabweka km mbwa na akaenda mbali zaid. Ni MINYANI
 
Yule kocha hakukosea. Uneducated na hawajui mpira kaz ni kubwekabweka km mbwa na akaenda mbali zaid. Ni MINYANI
KUCH KUCH Hotahe!! Haihitaji uwe na akili nyingi kuthibitisha nilichokisema. Kuna utofauti mkubwa kati ya Timu ya Wananchi dhidi ya hii ya Mwamedi wa Bombay.
 
Kama vipi hii ya njano iwe ndio Jezi ya Nyumbani. Maana TFF kuna kitu wana hamu ya kukiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…