TFF yazuia watu kuzungumzia Mkataba wake na GSM

TFF yazuia watu kuzungumzia Mkataba wake na GSM

Pozzers

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
337
Reaction score
560
Alafu watu wasiongelee[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]wanaficha nini sijui

IMG_3065.jpg
 
Yule Mwarabu wa nguruka anaeona ufahari kuzaliwa kariakoo alivyo na kiherehere lazima aiongelee kama katoa baba yake
 
Ndio wanaopaswa kuzungumza huu mkataba ni pande mbili tu TFF na GSM na kama haupo kwenye hizo pande basi hupaswi kuzungumza chochote
 
Hapo kuna sehemu tunapigwa, mikataba inatakiwa ishirikishe timu ili zijue
 
Wanajua mashabiki wengi wa Mpira Ni darasa la 7 kwa hio Ni fresh tu
 
Back
Top Bottom