Nenda official account ya TFF Instagram utaikuta hiyo taarifa. Wala sio fakeHivi Unahitaji kwenda shule ili Kujua hii ni fake?
Nenda official account ya TFF Instagram utaikuta hiyo taarifa. Wala sio fake
Timu zinapewa taarifa tu, hazishiriki kwenye majadilianoHapo kuna sehemu tunapigwa, mikataba inatakiwa ishirikishe timu ili zijue
Timu zinawakilishwa na bodi ya ligiHapo kuna sehemu tunapigwa, mikataba inatakiwa ishirikishe timu ili zijue
isipokua yanga sio?Timu zinawakilishwa na bodi ya ligi
Kivipi?isipokua yanga sio?
Kaeni kwa kutulia nyie wazee wa mbughiraBongo bana kila kitu ni kutishiana
Hata hivyo nyie si mbumbumbu wengiWanajua mashabiki wengi wa Mpira Ni darasa la 7 kwa hio Ni fresh tu
Yanga mbona mna kiherehere Kama mmedhamini nyie wakati ni GSMKaeni kwa kutulia nyie wazee wa mbughira
Watiaji tuko wengi.Hata hivyo nyie si mbumbumbu wengi