TFF ziacheni timu zicheze mechi

TFF ziacheni timu zicheze mechi

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Matokeo ya jana kati ya Namungo vs Yanga (sare ya bilabila) na Kaizer Chiefs vs Simba (4 - 0) ndo matokeo ya timu kutocheza mechi.
Kaizer Chiefs kacheza mechi mbili yaani tarehe 6/5 na 12/5 ndo kakutana na timu ya Simba.

Simba na Yanga kabla ya mechi yao ya tarehe 8/5, ambayo haikuchezwa, zilikaa takriban wiki eti zikijiandaa kwa mechi hiyo. Matokeo ya mechi hiyo sote tunayafaham. Baada ya siku hiyo kupita waheshimiwa hao wakakaa tu wiki nzima bila kucheza mechi mpaka jana. Kwa mtindo huu ni kama tunacheza sinema ya soka.

Hii ni sawa na kumwacha mtoto kutokwenda skuli halafu ukategemea afaulu mtihani mwisho wa mwaka.
 
Back
Top Bottom