TFRA Songwe yakamata shehena ya mbolea ya ruzuku ikitoroshwa

TFRA Songwe yakamata shehena ya mbolea ya ruzuku ikitoroshwa

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
TFRA tfr Nyanda za juu imekamata mbolea za ruzuku zikotoroshwa. Mbolea hizi zilikuwa kwenye hiace 3 na bajaji 2 na pickup moja.

Shehena kubwa ilipakuliwa tokea katika magari hayoooo

Meneja wa TFRA amesema swali wahusika wamekamatwa ama ni madreva tu

Tushazoea hata ukisikia waethiopia wanakamatwa unasikia na dreva kakimbia nawaza kama hawatajulikana tunapootezeana mda tu.
20240815_201239.jpg
20240815_201302.jpg

20240815_201325.jpg
 
Back
Top Bottom