Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Aug 15, 2024 #1 TFRA tfr Nyanda za juu imekamata mbolea za ruzuku zikotoroshwa. Mbolea hizi zilikuwa kwenye hiace 3 na bajaji 2 na pickup moja. Shehena kubwa ilipakuliwa tokea katika magari hayoooo Meneja wa TFRA amesema swali wahusika wamekamatwa ama ni madreva tu Tushazoea hata ukisikia waethiopia wanakamatwa unasikia na dreva kakimbia nawaza kama hawatajulikana tunapootezeana mda tu.
TFRA tfr Nyanda za juu imekamata mbolea za ruzuku zikotoroshwa. Mbolea hizi zilikuwa kwenye hiace 3 na bajaji 2 na pickup moja. Shehena kubwa ilipakuliwa tokea katika magari hayoooo Meneja wa TFRA amesema swali wahusika wamekamatwa ama ni madreva tu Tushazoea hata ukisikia waethiopia wanakamatwa unasikia na dreva kakimbia nawaza kama hawatajulikana tunapootezeana mda tu.