TFT, PLASMA monitor with TV 40'

Amoeba

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2009
Posts
3,288
Reaction score
791
Wakuru habari za usubuh?
namalizia kujenga kabanda kangu sehemsehem, ili kukafanya kawe tundu zuri la kupumzika baada ya kazi ngumu za shamba, ningependa kufunga karuninga kabig kiasi na gagets nyngne za intatenimenti, nahitaji plasma tv ya kuning'iniza ukutani ya nchi kama 40 au zaidi. ikiwa na uwezo wa kufanya monitor ya pc itakuwa bomba zaid. tafadhali
 

I can be of help here..,

check here or PM me for further personal help.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…