TGIF - Bonge la houseparty mjini...kiingilio ID ya Mtoni

TGIF - Bonge la houseparty mjini...kiingilio ID ya Mtoni

Quemu

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2007
Posts
984
Reaction score
133
LOL

Basi kuna mshikaji kani-sms nusu saa iliyopita. Kanistua eti kuna bonge la houseparty jioni hii hapa Dar, lakini kiingilio ID ya mtoni.

Yaani maanake ili uweze kujikita kwenye houseparty lazima uwe na identification ya majuu. Haijalishi kama ni driving license, school id, kadi ya kijani, passport, work id, nk....ili mradi kiwe cha mtoni tu. Na mtoni sio lazima iwe US na UK pekee...India, Russia, mpaka SA nako kunahesabika kama mtoni.

Duh wabeba maboksi bana.
 
Back
Top Bottom