mkuu GEOF unaflood jukwaa ila umeongea points tupu.
Mimi mtazamo wangu ni kwamba inapaswa kuihurumia ccm kwa kuinyima kura kwani imeshindwa kukidhi mahitaji ya wakati na imeelemewa sana.
huu ndio wakati wa vyama makini kama Chadema, CUF, NCCRS, TLP(hehe!) n.k kujichimbia na kutuletea sera endelevu zitakazotutekenya nyoyo zetu wakati wa kura ukifika.