TGIF: We are rich... tch!!!

Nyani unanimaliza kwa sana,hata hivyo na wewe pia sometimes una make sense kwasana minus huo ubraza meni wako.

Mimi wala sio braza.....niko kivyanguvyangu tu....si fit category yeyote ile....
 
Mimi wala sio braza.....niko kivyanguvyangu tu....si fit category yeyote ile....

Siyo kweli unafit category ya unyaninyani na hiyo ndiyo category yako...LOL!

Have a great weekend 🙂
 
Tunaweza tukawa na utajiri wa maliasili lakini maskini wa kimawazo.
 
.......no........MMKJJ.....kama tulivyo wengi hapa JF.......most of us are rich......however we pretend to be poor.........

.....Saidia kwa kuchangia Jamii Forum....ili iendelee kudumu......
 


I think thats better, and i thats my position as well🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…