Bongo ni bongo hapa miaka kumi tunaumwa mafua tu, sasa kijana wa miaka 32 kulazwa lazwa bongo ni bongo tu. Mara ya mwisho nimelazwa Tanzania kwa malaria kuanzia nije hapa 1997 sijalazwa. Bill Gates amesema Kampuni atakae tengeneza kinga ya Malaria itapata $1Billion na inasemakana kinga iko tayari kwenye majaribio labda itasaidia kupunguzwa kulazwa lazwa.