Tha PLATINUMZ family show

Tha PLATINUMZ family show

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Ikiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali.

Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali.

Ni famila yenye watoto wasiotokana na baba na mama mmoja huku kimafanikio wakiongizwa na Naseeb bila kusahau umaarufu TRENDS haziishi daily.

Hebu wafanye kitu kitakachowapatia kipato kingine.

Hii ni fursa
 
Ikiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali
Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali
Ni famila yenye watoto wasiotokana na baba na mama mmoja..huku kimafanikio wakiongizwa na Naseeb bila kusahau umaarufu TRENDS haziishi daily
Hebu wafanye kitu kitakachowapatia kipato kingine..hiini FURSA
Nenda kawauzie hii idea, fursa kwako pia, maana hii familia haishiwi vituko na ndiyo maana inafuatiliwa sana
 
Hii family ilikosa kiongozi mwanzoni kabisa na huyu Diamond kitu kinachomsaidia ni kuwa watu waliomzunguka ndio wanamuweka sawa na kumtuliza. Tunaweza kusimamia ule usemi "...........anafunzwa na ulimwengu"
Jengine ni ukosefu wa elimu na exposure ambalo wengi wa TZ wanalo hata hao wanaotukana na kumsifu ukitizama utaona madhaifu......
Kubwa kuliko yote hii family ni waumini wa dini vizuri kimsimamo lakini wameshindwa kuisimamia au hawaijui kisheria......
 
Akina nani hao?
JamiiForums-743007979.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii family ilikosa kiongozi mwanzoni kabisa na huyu Diamond kitu kinachomsaidia ni kuwa watu waliomzunguka ndio wanamuweka sawa na kumtuliza. Tunaweza kusimamia ule usemi "...........anafunzwa na ulimwengu"
Jengine ni ukosefu wa elimu na exposure ambalo wengi wa TZ wanalo hata hao wanaotukana na kumsifu ukitizama utaona madhaifu......
Kubwa kuliko yote hii family ni waumini wa dini vizuri kimsimamo lakini wameshindwa kuisimamia au hawaijui kisheria......
"Ukosefu wa elimu na exposure "

Ni exposure ipi unayoiongelea wewe?
 
Huyo Mzee nilichoka pale aliposema walikua wanavaa condom nikajua hamna kitu. Niwazi mtoto sio wake. Jengine sioni sababu ya mtoto kumgombania sana wakati hakua ameoa. Kuna wakati nahisi km huyu Mzee alitumika na maadui wa Diamond kwa muda mrefu ukifuatilia Queendalin interview aliofanya na Lilyommy inapatikana youtube utaona huyu Mzee alikua na shida kiasi flani
 
Back
Top Bottom