Nenda kawauzie hii idea, fursa kwako pia, maana hii familia haishiwi vituko na ndiyo maana inafuatiliwa sanaIkiwapendeza hii familia ianzishe family show itakayorusjwa na tv mbalimbali
Ni familia yenye matukio kila uchao kuanzia mafanikio mpaka kashfa mbalimbali
Ni famila yenye watoto wasiotokana na baba na mama mmoja..huku kimafanikio wakiongizwa na Naseeb bila kusahau umaarufu TRENDS haziishi daily
Hebu wafanye kitu kitakachowapatia kipato kingine..hiini FURSA
Nadhani wapo mbiin kuanzisha show yao sasa hivi mnapewa vionjo tu
"Ukosefu wa elimu na exposure "Hii family ilikosa kiongozi mwanzoni kabisa na huyu Diamond kitu kinachomsaidia ni kuwa watu waliomzunguka ndio wanamuweka sawa na kumtuliza. Tunaweza kusimamia ule usemi "...........anafunzwa na ulimwengu"
Jengine ni ukosefu wa elimu na exposure ambalo wengi wa TZ wanalo hata hao wanaotukana na kumsifu ukitizama utaona madhaifu......
Kubwa kuliko yote hii family ni waumini wa dini vizuri kimsimamo lakini wameshindwa kuisimamia au hawaijui kisheria......
the revealation of fact"Ukosefu wa elimu na exposure "
Ni exposure ipi unayoiongelea wewe?
Hapa labda ni vitu viwili tofauti ama ni kitu kilekile kwa majina tofauti lakiniHiyo show mbona walitoa trailer mwaka jana wakasema inakuja soon inaitwa wasafi reality show
Kwa jinsi wabongo tunavyopenda umbea wangepiga pesa sanawalishakua na nia ya kuwa na reality show yao na photoshot walishafanya nadhani uswahili wao uliwakwamisha.
Huyo jamaa alivyoandika eti siku ya 3... 🤣🤣🤣 anasikilizia anaefuata aendelee