Tha PLATINUMZ family show

Jamani kila kitu Sasa hivi ni dili,,, watu wanaingiza mpunga,,, hata skendo za aibu ni dili,, ipo siku mtasikia Mama Dangote kaachia collabo na mwanae,,, nayo ni attention pia kwa wadau,
 
Achana na maisha ya wengine member mwenzangu. Fanya yako. Huo muda unaupata wapi? Unafuatiliaje maisha ya watu kiasi hicho mtoto wa kiume?
 
Kwa picha hizi, ama kweli nimeamini pesa ni sabuni ya roho,, gwanji ni sabuni yamwili tu. Ndio maana watu wenye pesa hawazeeki upesi,, unamkuta mzee amekula 80 lakini anadunda tu, na anaitwa baby,, Ukimkuta kijana yule choka mbaya yeye kaonja 30 tu, anaambiwa shikamoo babu..
Jamani tutafuteni pesa,,,[emoji385][emoji384][emoji387][emoji386][emoji388][emoji383][emoji763],, ukiwa na pesa unaomba uchelewe kufa,,
 
Ila kwa show inawezekana sababu kuna uwezekano wa kuweka matangazo katikati. Na still wakapiga mtonyo.
 
Mbaya zaidi cheti cha kuzaliwa cha diamond jina LA baba likaandikwa AbdulJumaaa badala ya Nyange.
 
Huyu Mama ashukuru hayo Mambo anayafanya huko uswahilini kwao kuna mikoa mingine saiv tungekua tunasema Alale pema...ni kauli hatarishi sana kwa wanaume halisi..hatarishi mnoo mikoa ya Kiumeni angeshaumia.
 
Esma kaachika tena ama?
 


Mkuu huyo haitwi tena Naseeb

Anaitwa Reginald Nyange.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…