Thabeet na henry joseph ni soma

Thabeet na henry joseph ni soma

Kisendi

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Posts
699
Reaction score
179
Hili ni soma kwa wanamichezo wote TZ, Mpira wa miguu na BAsketball in USA vinalipa mno kuliko kufanya kazi hapa BONGO.

Jiulize HASHEEM will be earning 19billion per year after joining NBA,
Henry atapata mil260 kwa mwaka baada ya kujiunga daraja la kwanza huko NORWAY, Je kama wewe ni mwanamichezo ongeza bidii na uache bangi, wanawake maana wanarudisha nyuma maendeleo yako usipokuwa makini.

Bless
 
hivi hizo bilioni 19 ni kweli au mzaha.kwa sababu taarifa nilizosoma kwenye mitandao mingi zinasema mshahara wa rookie mara nyingi una range kati ya USD 2 milion mpaka usd 3 milion kwa msimu.nadhani unaweza kubadilisha kwa fedha yetu.
 
hicho kichwa cha habari kiko sawa kweli, unamaanisha ni NOMA au SOMO au SOMA?
 
Ukiachilia mbali kichwa cha habari hata ukweli wa hiyo habari juu ya mshahara wa h.thabeet kwa mwaka nadhani una utata kidogo.
Jamaa aliyechangia mwanzoni kabisa yuko sahihi.hiyo hela ni nyingi mno kwa ma-rookie kama yeye.
 
First-round draft picks earn two-year guaranteed contracts with a team option for the third year. The sliding salary scale means Thabeet will get slightly more than $3.7 million his first year and just shy of $4 million his second year. If the Grizzlies pick up the option for the third year, it means more than $4.2 million more for Thabeet.
 
Hili ni soma kwa wanamichezo wote TZ, Mpira wa miguu na BAsketball in USA vinalipa mno kuliko kufanya kazi hapa BONGO.

Jiulize HASHEEM will be earning 19billion per year after joining NBA,
Henry atapata mil260 kwa mwaka baada ya kujiunga daraja la kwanza huko NORWAY, Je kama wewe ni mwanamichezo ongeza bidii na uache bangi, wanawake maana wanarudisha nyuma maendeleo yako usipokuwa makini.

Bless

Mkuu Thabeet will be earning $3 million na ushee as per the rookie salary rule. Data zako umetoa wapi?
 
Last edited:
Jamaa hapo in action huko Kongsvinger
 
Attachments

  • Henry Joseph Akipasha.jpg
    Henry Joseph Akipasha.jpg
    169 KB · Views: 62
Mwanzilishi wa hii mada ni mjumbe tusimhukumu! Mimi pia kuna article kadhaa nimesoma kuhusu mshahara wa Hasheem kuwa US$1.2m which amounts to about US$14m per annum (katika madafu ndio approx. 19Bil). Sasa, kwa bahati mbaya, sikumbuki ile source, ila ni website yenye kuonyesha mishahara ya mastaa wa marekani. Lakini pia, kwenye TV na magazeti ya Tanzania ya ile wiki Hashim aliyochaguliwa kujiunga na NBA yaliripoti kuwa atapata 19 Bil Tsh! Kama kuna mtu mwenye reliable source, aiweke hapa.
Tisa, kumi haitusaidii chochote kuzungumza kuhusu mishara ya hawa jamaa kama hizi hela hazitaingia kwenye mzunguko wa humu nchini.
 
Back
Top Bottom