Ukiachilia mbali kichwa cha habari hata ukweli wa hiyo habari juu ya mshahara wa h.thabeet kwa mwaka nadhani una utata kidogo.
Jamaa aliyechangia mwanzoni kabisa yuko sahihi.hiyo hela ni nyingi mno kwa ma-rookie kama yeye.
Hili ni soma kwa wanamichezo wote TZ, Mpira wa miguu na BAsketball in USA vinalipa mno kuliko kufanya kazi hapa BONGO.
Jiulize HASHEEM will be earning 19billion per year after joining NBA,
Henry atapata mil260 kwa mwaka baada ya kujiunga daraja la kwanza huko NORWAY, Je kama wewe ni mwanamichezo ongeza bidii na uache bangi, wanawake maana wanarudisha nyuma maendeleo yako usipokuwa makini.
Bless
Mkuu Thabeet will be earning $3 million na ushee as per the rookie salary rule. Dara zako umetoa wapi?