Kwame Nkrumah
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 886
- 376
uzuri wa basket unaweza kucheza mpaka na miaka 40.kwa dogo umri wake bado una ruhusu basi aendelee kukomaa mpaka kieleweke.all the best to him!
labda...HAsheem Thabeet, Houston Hakupata Bahati yakuonyesha labda Trail Blazers itakuwa nafasi yake nzuri kuonyesha ujuzi wake ni sehemu nzuri kwa yeye tunamuombea mazuri.
labda...
natamani sana huyu mwenzetu afanikiwe ili afungue milango kwa watanzania wengine.tumuombeeni mazuri jamani!
Ni average ya muda wote aliocheza over idadi ya mechi alizochezaHizo 10.7 minutes inamaanisha ndio muda aliocheza kwa miaka yote aliyokuwa NBA?