Nina uhakika anapitia humu......na kama hapitii basi marafiki zake watamwambia.....Naomba nikuulize swali hukusu hicho ulichosema.
Jinsi mimi ninavyo andika na jinsi press ya Marekani inavyoandika na kufuatilia mienendo ya watu, ni yupi yuko vociferous zaidi?
Naomba nikuulize swali hukusu hicho ulichosema.
Jinsi mimi ninavyo andika na jinsi press ya Marekani inavyoandika na kufuatilia mienendo ya watu, ni yupi yuko vociferous zaidi?
Nina uhakika anapitia humu......na kama hapitii basi marafiki zake watamwambia.....
unamshaurije kijana wetu?
Hata press ya Marekani inakuwaga vilified inapoanza kuwaandika na kuwakosoa watu unfairly....
Utai villify press? Utatumia spika na kipaza sauti barabarani?
Ushawahi kusikia press imeingia in trouble?
Ushasikia press imekuwa fired?
The most vicious and controversial press people are the most paid. Kuna neno "fair" kwenye American press? Tafadhali bana.
Sasa ngoja uone moto wake hao press Thabeet akishaingia kwenye fish bowl, kwenye kumi na nane za press ya Marekani kama unaona mimi ni "unfair" na "condescending."
Tumuombee kusudi asijebadilishwa tabia kutokana na pesa nyingi pamoja na kampani mbovu akaingia katika mambo mabaya. Atunze composure yake kama ilivyokuwa siku zote tangu alipoanza kujulikana.
"Atunze composure" ipi? Amejipiganisha kwenye fainali za NCCA. Hana composure.