Ngoja uone, wakati ni rafiki mzurikwani miziki mingine ilipenya vp kwenye gospel? ,gospel ya leo ina ndombolo,yamoto band,soukous nk,itashindwaje taarabu?
Mbona gospel watu wanaselebuka kibolingo bolingo! Wanaselebuka ki raggae raggae kama bob marley.Nitawashangaa sana BASATA kama wataruhusu hiki kituko. Na ikiwezekana hatua kali za zichukuliwe dhidi ya muhusika. Yaani ule mselebuko wa kishangingi uingie kanisani!!? Isifike mahala watu wakaanza kudhihaki dini za wengine kwa tamaa ya pesa.
Huyu anachokifanya hakikubaliki kwa waungwana na watu wanaotakia mema utashi wa kidini. Au mwenzetu amefilisika kiusanii sasa anatafuta kiki ya kutokea?
Kwa hili kama kuna watu "eti" wamemshauri anajiandalia kaburi lake kisanii. Mimi ni mpenzi wa Taarabu lakini kwa hili analotaka kulifanya huyu Bwana ni kutafuta jinsi ya kuuzika muziki wa Taarabu na kuuweka mahala ambapo ni vigumu kuukwamua.
Makanisa yenyewe kama ni haya ya akina Rose Muhando wanaocheza ndombolo hata sasa, aende tuThabit Abdul amefunguka kuwa ana mpango wa kuipeleka taarabu kanisani kwa kuimba kwaya yenye mahadhi ya taarabu
Thabit amedai kuwa waimba kwaya wengi wenye majina makubwa nchini wamemfuata ili wafanye nae kolabo ingawa mwanzoni alisita ila kwa sasa kaamua kukubali na kutoa ahadi ya kutoa nyimbo za kutosha za kwaya zenye mahadhi ya taarabu
View attachment 409858
Haya sasa kazi kwenu wapenda kwaya anachotaka kukifanya huyu kijana kipo sawa? Kwa upande wangu naona hayuko sawa maana mziki wanaouimba hauko sawa hata kidogo na umejaa ufirauni sasa suala la kuamishia kanisani naona ukakasi kidogo au mnasemaje waungwana?
Ngoja tumsubiri tuone, ila asije akaleta mtafarukuMbona gospel watu wanaselebuka kibolingo bolingo! Wanaselebuka ki raggae raggae kama bob marley.
sasa hapo inakuwaje?
Sina nia ya kukashifu dini ya mtu...nauliza kwa ustaarabu tu maana tumeona hiyo miondoko.
Mungu hana mwimbaji mkubwa wala mdogo, yeye akaimbe kumsifu, kumwabudu na kumshangilia Mungu siyo kuwafurahisha waimbaji wakubwaThabit amedai kuwa waimba kwaya wengi wenye majina makubwa nchini wamemfuata ili wafanye nae kolabo ingawa mwanzoni al
Lakini pia makanisani kunachezwa ndombolo ya solooYaani ule mselebuko wa kishangingi uingie kanisani!!? Isifike mahala watu wakaanza kudhihaki dini za wengine kwa tamaa ya pesa.
Huyu anachokifanya hakikubaliki kwa waungwana na watu wanaotakia mema utashi wa kidini.