Thabo Mbeki’s reflections on the legacy of Benjamin Mkapa

Rip mzee wetu mkapa
 
Niliisikiliza hii. Zaidi ya content, Mrema alifanyiwa uhuni. Kila alipokuwa anazungumza, microphone zilikuwa zinakoroma. TBC ya wakati huo ilifanya makusudi kwa sababu alionekana tishio kwa CCM. Alihujumiwa katika huo mdahalo. Nakubaliana na wewe. Mkapa alikuwa anasoma kwenye karatasi.
 
Haikuwa TBC
Ilikuwa channel ten/Dtv
 
Magufuli akae akijua anaweza kuwa futa kina Tundu Lisu na upinzani lakini akae akijua historia yake hataweza kuifuta vizazi na vizazi.
 
Eti, Unaona fahari dada yako kuolewa na mgeni!!!,--- walijipitisha mbele yao ili wanaswe.🤣
Mkuu sio ufahari mimi nimezungumzia kawaida tuu maana hata sisi tumeoa wasauzi awe mgeni au mzawa wakioana maisha yao yakaenda sawa tuu...sina chembe chembe ya ubaguzi wa aina yeyote ile
 
I don't recall reading a lot of sense ever from you as I have done here today!

There is another very moving tribute from Salim Lone in the Daily Nation of Kenya.

Mkapa a typical Makerere scholar. That breed of scholars is unfortunately disappearing fast.
 
Mkapa alikuwa anasoma kila kitu hata first speech yake ya kwanza Jangwani alisoma Tu hotuba yake alipooza mno..
"Kusoma" hakupunguzi kitu katika kuwasilisha jambo.

Cha mhuimu ni hicho kinachosomwa kama kina maana na kinaeleweka vizuri na wasikilizaji.

Kusoma ni njia ya kuwasilisha tu mambo ambayo muwasiliaji ameyapanga vizuri yawafikie wasikilizaji.

Kinachoweza kuharibu ni namna ya usomaji wa hayo yaliyoandikwa.

'Teleprompter' siku hizi imeondoa hilo tatizo.
 
Mkuu sio ufahari mimi nimezungumzia kawaida tuu maana hata sisi tumeoa wasauzi awe mgeni au mzawa wakioana maisha yao yakaenda sawa tuu...sina chembe chembe ya ubaguzi wa aina yeyote ile

To make the story balanced, you had to express the other side too, using the expression "tumeoleana". That sounds good. isn't it???
 
mkuu nasikia kuna magari used yanauzwa kwa bei poa sana hapo S.A
 
mkuu nasikia kuna magari used yanauzwa kwa bei poa sana hapo S.A
Yap nadhani magari mengi yanauzwa bei za kawaida na ni ya miaka ya karibuni yaani kuanzia 2010 mpaka 2020 tofauti na sehemu ningi Benz,BMW,VW,Nissan pick up na Toyota ha Ford XLT na mengine yapo bei za kawaida saana na pia ukipata kibali cha gari ikionyesha imetengenezwa SA unalipa Kodi nusu ya Kodi inayotakiwa kulipwa sijahadithiwa inapungua mno ..Toyota ndio Kodi yake ipo juu hizi pick up ila Nissan hata ya 2013 ile ton moja haikufika 7 million...
 
Eti, Unaona fahari dada yako kuolewa na mgeni!!!,--- walijipitisha mbele yao ili wanaswe.🤣
Sasa dada yangu ntamuoa Mimi Mkuu nazungumzia Watanzania wanawake ni vile mmejifungia wapo wasauzi wanakuja kuchukua Kodi za nyumba huko bongo na wao wanaishi huku na vile vile wapo watz wanachukua kodi SA na wanaishi Tanzania...
 
Kweli mtu hawezi kuoa dada yake, ila mtu huona fahari pale ambapo dada yake anapoolewa na mtu yeyote Mwema awe mgeni au asiwe mgeni. Point yangu ni hiyo.
 
Huyu wa saizi anawafunza akina Sabaya ili wawe viongozi wazuri kama mkapa hapo siku za machoni.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…