Thamani na Uthaman wa mke ni vizuri ukaheshimiwa

Thamani na Uthaman wa mke ni vizuri ukaheshimiwa

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
jaman mke ni mtu wa pekee katika maisha yetu,
Nikiwa namaliza mwaka ndani ya jiji la mafuriko...hapa nimepg kambi viwanja vya manzese huku nikishuhudia wadada warembo wakijiuza kwa 300,500,1000 na hapa ukiwaza sana unaweza shusha hadhi ya mwili wa kike....

Nimetema mate kuepusha kutapika manake..**chi unavyouzwa kama mitumba ya Karume,argentina,77 dodoma....kazi ikisha kinapigwa Maji kinakaa silencer....inawezekana huu mkoa ukaongoza kwa nyumba ndogo...

.wengine wataendelea....
 
uongo machangu wa bei hiyo manzese ipi ..acha uongo
 
Nahisi mwisho wa dunia ndo unakaribia na haitakiwi kuwalalamikia wanawake pekee kwani hata hawa wateja wao kwani wasingekuwepo nadhani hata wao wangekata tamaa na kujitaftia ajira inayoendana na maadili ya kiTZ
 
Hatari kabisa...
 
Back
Top Bottom