zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Unabisha bei kubwa,unabisha bei ndogo?uongo machangu wa bei hiyo manzese ipi ..acha uongo
Hatari kabisa...Nahisi mwisho wa dunia ndo unakaribia na haitakiwi kuwalalamikia wanawake pekee kwani hata hawa wateja wao kwani wasingekuwepo nadhani hata wao wangekata tamaa na kujitaftia ajira inayoendana na maadili ya kiTZ