Thamani/umuhimu wa watu.

Kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia umuhimu wa wa kujali wazazi wakiwa hai.
Akasema hakuna kitu kinauma kama wazai wanaondoka halafu ukawa ulikuwa huwajali,
Hicho kitu kitakutesa maisha yako yote.

Akasema hata ukiwa na pesa nyingi namna gani utakuwa unawaza baba yangu na mama yangu wangekuepo
wangefaidi matunda ya kazi yangu.

Lakini kama ulikuwa unawajali, hata wakiondoka haitakusumbua sana................
Thanks Husninyo, kwa kutukumbusha hili pia.
Me Love you as I love KOKUDO, ukimuona msalimie.
 
Ndiyo maana nasema binafsi sioni umuhimu wa WATU, bali MTU!

sipingani na mtazamo wako ila fikiria siku utakayohitaji kufanya sherehe, je wewe na huyo mtu tu mnatosha?
Kwenye matukio ya msiba je?
Majanga kama moto, utahitaji mtu au watu?
Kama wewe ni boss sehemu upo na secretary tu je mtafanya kazi zote wenyewe?
Una mke/mume je hutahitaji watu wengine ambao ni watoto?
Unaumwa upo hospital, kama mtu muhimu kwako ni doctor, je yeye tu anatosha kukuhudumia?
Binafsi furaha ya maisha yangu hukamilishwa na uwepo wa watu na si mtu.
 
Hus nadhani mshkaji amemaanisha kwamba mtu mmoja anaweza kua na maana kuliko watu wengi...kitu ambacho naweza kukubaliana nacho maana mara nyingi watu wanaokuzunguka sio wote wanaokujali au kukutilia maanani!Unaweza ukawa na rundo la ndugu na marafiki ila siku ukiwahitaji haswa unajikuta umesimama mwenyewe au kama una bahati..na mtu mmoja tu pembeni yako!Kwahiyo bora kuona umuhimu wa mtu mmoja anaeona wako kuliko wengi wanaokuchora tu!
 
Duuhh umenikumbusha moves fulani ya Will Smith
Jina limenitoka kidogo..

Nway my dear we love u and we thank u for every thing u do here
To all JF members I love u 2
 
Duuhh umenikumbusha moves fulani ya Will Smith
Jina limenitoka kidogo..

Nway my dear we love u and we thank u for every thing u do here
To all JF members I love u 2
You meant PURSUIT OF HAPPINESS or i got it wrong...
 
asante Husninyo.

Hivi naweza pia kuwa muhimu eeh?
 

kweli.
Inawezekana nimemuelewa vibaya.
 
Hahah thanx husninyo mungu akubariki kwa upendo wako wa kweli
 
ndipo ninapoukumbuka wimbo wa faza nelly. Kipande kimoja anasema 'siishi na miti naishi na watu'
 
post of the month

what strange feelings we have everyday... kweli JF ina raha sana

Hivi husninyo ulikua unawaza nini na wewe kuleta horror imagination siku nzuri kama ya leo?
 
post of the month

what strange feelings we have everyday... kweli JF ina raha sana

Hivi husninyo ulikua unawaza nini na wewe kuleta horror imagination siku nzuri kama ya leo?

mwenzio nimeoteshwa kama babu wa loliondo.
Thanks dear.
Nakuthamini.
 
Ahsante dearest!..we mostly do not appreciate what we have till its gone iwe ni mke,mume,rafiki,wauza mihogo,at the market,in the office etc!good reminder!i love you big!
 
wewe ni muhimu kwangu na nakupenda pia Husninyo....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…