Thamani ya Christiano Ronaldo Kwa kazi anayofanya ni hii...je wewe

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Ronaldo ni mjanja sana, ameona kipindi hiki anachoelekea kuchuja na miaka ikienda mbio ( kwao miaka 30+) ni uzee, ameona apige dili la mwisho la maana kwenye mpira wa miguu kama kazi yake.

Kila sekunde yake anapata 2800
Kila dakika yake anapata 167,000
Kila saa anapata milioni 10
Kila siku anapata milioni 241
Kila wiki anapata bilioni 1 na milioni 600
Kila mwezi anapata bilioni 6 na milioni 700

Je wewe kwa kazi yako thamani yako ni nini ? What is your worth kwa unaowafanyia kazi? Je kwa output unayotoa unachopata ni sawa?

See you at the top spp
 
Kama wewe haujaweka thamani yako unategemea nani ataanza kujitolea?

Inaonyesha hauna imani na ulichokiandika.
 
Ronaldo ni mjanja sana, ameona kipindi hiki anachoelekea kuchuja na miaka ikienda mbio ( kwao miaka 30+) ni uzee, ameona apige dili la mwisho la maana kwenye mpira wa miguu kama kazi yake.

Kila sekunde yake anapata 2800
Kila dakika yake anapata 167,000
Kila saa anapata milioni 10
Kila siku anapata milioni 241
Kila wiki anapata bilioni 1 na milioni 600
Kila mwezi anapata bilioni 6 na milioni 700

Je wewe kwa kazi yako thamani yako ni nini ? What is your worth kwa unaowafanyia kazi? Je kwa output unayotoa unachopata ni sawa?

See you at the top spp

Kwa kuongezea tu, hichi kipato cha Ronaldo kinahusisha chanzo kipi cha kipato chake?
 
Back
Top Bottom