Thamani ya fedha

Laprofeseli

Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Nahitaji msaada wa kujua vifuatavyo
1.Maana ya thamani ya fedha
2.Vipengele vinavoangaliwa kujua thaman ya pesa
3.Thamani ya fedha ya Tanzania
4.Tofauti ya fedha ya nchi ya africa mashariki na kwanini?
5.Njia za kukuza thamani ya fedha za kitanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…