Wachumi Ebu nisaidieni hapa :
Hivi nini ufanyika pale ambapo Taifa fulani baada kuona ela yake imeshuka thamani uiinua na kua yenye thamani, nikichukulia mfano jirani zetu Zambia ela yao ilikua haina thamani ila nimeshangaa ghafla ilifutwa na kubadirika na kua yenye thamani.
Je nini hufanywa hapo, nikimaanisha Kitu gani hawa walikifanya na kuacha kutumia ile thamani ya awali kwenda hii mpya
Kwasasa 1USD=6.08 Zambian Kwacha
Kabla 1USD=5249 Zambian Kwacha