Wakuu nimekuta ubishi wa watu kijiweni wakibishana kuhusu pesa yenye thamani duniani. Wengine wakisema pound ipo juu, wengine dola ipo juu, wengine Euro ipojuu na mwingine anasema dinari ina thamani kuliko Pesa yeyote duniani. Sasa najua hapa jukwaani kuna kila aina ya elimu. Naomba tuelimishane ni ipi pesa yenye thamani kuliko zote duiani.. Shukurani kwa kila jambo!
Sent using
Jamii Forums mobile app