Thamani ya hisa za rites/trl

miner

Member
Joined
Dec 14, 2009
Posts
77
Reaction score
4
Mchakato wa kujua thamani ya hisa za Rites katika TRL waanza .Habari hii imeandikwa katika gazeti la Nipashe la Jumatatu 29.03.2010 inatia kichefuchefu kwamba serekali hii haijui hata hizo hisa waliuza kwa thamani gani eti sasa ndio wapo katika mazungunzo na wala hawataki kusema waliuza kwa kiasi gani. Zaidi habari hiyo inaeelezea ;

Hata hivyo wakati serekali ikisisitiza kutaka kununua hisa hizo,taarifa za uhakika zinaonyesha kuwa kampuni ya Rites haijawahi kuzilipia na badala yake ilitoa sh. billion 10 kama sehemu ya mtaji wa awali wa kuendesha kampuni ya TRL kiasi ambacho kilitolewa pia na serekali ambayo inamiliki asilimia 49 ya hisa katika TRL.

Nchi hii italiwa hadi lini na nini kifanyike ?
 
mtoto kuwaaaaaaaaaaaaaaa nawewe ule nchi ,sisi wanasiasa tukiamua ata kukuuza wewe tunaweza tanzania ni nchi ya kuchuma tuu,ukiwa mjanja basi unatajirika ila wananchi wa kawaida tunaomba muwe wavumilivu kwani fedha si kwa matumizi yenu, ni za viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…