Vpl ni million 70
Gharama zinazotumia timu mfano yanga ni karibu million 500 katika usajiri
Kombe halirudishi gharama ila linakupa mwanya wa kupata wadhamini watakaotia mzigo wa maana
Kombe linakupa mwanya wa kushiriki michuano ya kimataifa ambapo ukifika hata makund tu ukawa wa mwisho unaingiza almost million 900-billion 1
Na mengine mengi tu ,
Hii ni the same na EPL uingereza, EPL lina thamani ya Paund million 30
Ila timu kama man u zinafanya usajiri wa paun million 200
Na mwisho wa msimu wanafunga mahesabu kwa faida
Kutoka ktk mauzo ya jezi
Haki za matangazo
Kushiriki uefa
N.k
Yote hayo chanzo ni kufanya vizuri ktk ligi
Hivo usije kushangaa YANGA anamnunua chirwa million 200 ukazani lengo ni kugombea million 70 pekee hapana, kuna malengo mengi hapo ,kupiga faida