Thamani ya mwenza wako

Thamani ya mwenza wako

Swahili_Patriot

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
358
Reaction score
831
Sina nia ya kutiririka wala kuperform kazi ya motivational speakers ila kwa niliyojionea, ningependa kufikisha ujumbe fulani.

Niliachana na mwanamke wangu sababu alikuwa mkavu hadi kero. Baada ya round 1, nyingine zote ni mwendo wa kujichubua tu, a perfect no 11 shape. Nikaanza harakati za kutafuta her replacement.

With time nilipata fursa ya kujuana na Cr n baada ya kujiridhishwa she has the potential to make me happy, we started dating. She's my happiness now, mtoto wa kijaluo, ana shape ya hatari na tako la wastani majimaji.

Ila sasa huyu mwanamke wangu mpya ameniletea changamoto mpya kwenye mahusiano yangu. Cr aliachana x wake baada ya kumfumania, akamsamehe then akaja kumfumania tena kwa mara ya pili akiwa na mwanamke yule yule.

Nimekutana na jamaa, jamaa hadi amelia akiniomba nimuache Cr. Siyo siri jamaa anatia huruma ila mwenyewe sina hata hiyo nguvu ya kumuacha Cr hata kama ningetaka. Niliachana na x wangu kisa she was dry ila Cr anamwaga hadi inatubidi tuligeuze godoro maana huwa chapachapa.

Siwezi kumuacha hata nilipwe nini, ninataka kufunga shughuli kibabe.

Ushauri wangu kwa siye tulio kwenye mahusiano. Ukiamua kucheat, basi mjipange msijulikane, kumuona mwanaume atapatapa asamehewe ilhali alicheat kwa hiari kunatia hasira. Kama unaijua THAMANI ya mtu wako, basi mpe.

Tuepuke kudharaulishana kisa vitu vya kipumbavu pumbavu, kama dada wa kazi wa jirani. Simuachi!
 
Uko sawa ila umekosea mtandao wa kupost haya...ilitakiwa upeleke facebook hizi habari
 
Back
Top Bottom