MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
Ntarudi kuangalizia majibuNgoja waje!namimi nauliza hivi hapa JamiiForum kuna jukwaa linaloonesha currency exchange zakila siku kwa dollar,pound,Rand,ksh e.t.c?
Mi ninavyojua, kuna vitu vingi vinaweza sababisha pesa kushuka thamani, ambazo baadhi ya hizo ni.
1. Nchi husika kuishusha thamani sarafu yao ili kuongeza kiwango cha uuzaji bidhaa nje mfano China huwa anafanya sana hili.
2. Soko la dunia linaweza sababisha dolla kuwa na nguvu hivyo kuathiri mpaka sarafu zingine.
3. Matumizi ya pesa za kigeni katika mzunguko wa pesa nchini hususha thamani ya sarafu ya nchi husika.
4. Uagizaji wa bidhaa toka nje kuwa mkubwa kuliko kile ambacho nchi husafilisha bidhaa kwenda nje ya nchi zingine, hili husababisha mahitaji ya dola kuwa makubwa na hivyo shilingi kushuka thamani.
Ukitoa sababu namba 1, sababu zingine ndizo vyanzo vikubwa vya kushuka thamani ya shilingi, thamani ya sarafu kuwa ndogo inaweza kuwa na faida endapo nchi itakuwa na uwezo wa kuzalisha bidhaa nyingi zenyewe na hivyo kufanya bidhaa toka nje kuwa za ghali na za ndani kuwa nafuu na kuongeza exportation. Nadhani kidogo utakuwa umenipata, tusubiri wachumi watudadavulie zaidi.