Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Africa ukishapewa uraisi means nchi ni Mali yako binafsi na wapambe wakoWapendwa,
Tunamshukuru Mungu kwa uhai huu ambao Leo kimekuwa ni kitu adimu zaidi hasa kutokana na uwepo wa makali ya Coronavirus.
Leo napenda nijuzwe thamani ya Rais ni sawa na wananchi wangapi?
Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndio maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai was mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.
Kuna nchi watu hufanya maandamano ili Rais atoke, waandamaji wakiuliwa sana Rais huondoka ikulu.
Juzi tumesikia kuwa hospitali ya Bugando ilikuwa na mashine moja ya ventilator na moja ya ECO, zote zimepelekwa mkoani Geita wilayani Chato.
Hivi mtu huyu mmoja thamani Yake ni sawa na wananchi wangapi? Naombeni jibu ASAP
Samahani mkuu, naomba nikuulize swali kidogo nje ya mada.Thaman ya wanaadamu ni sawa na mbora n yule mwenye kumcha Allah zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh, mmhThamani ya rais ni sawa na raia wote katika nchi
Paskali kwanini wewe usiwe mwongo?Hakuna kitu kama hicho, huu utakuwa ni uongo na uzushi.
P
Nchi gani?Msafara wa Raisi husimama kuipisha 'ambulance' hili tuliweke sawa
Kumbe mwenyewe huna uhakika mkuuHakuna kitu kama hicho, huu utakuwa ni uongo na uzushi.
P
"Kufuatia kutumia Implant"Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.
P
Brain washed watu wa hivi bado mpoThaman ya wanaadamu ni sawa na mbora n yule mwenye kumcha Allah zaid
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mshana haya mambo hayachanganyi bali kinachochanganya ni ushabiki wa awamu hii.Haya mambo yanachanganya sana kaka
Jr[emoji769]
He's not, only Allah Ndio wa kuamua uishi au usiishi.Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1,anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.
P
Cylinder ya Oxygen ikiwa kubwa ndivyo itabeba ujazo mkubwa wa hewa.The bigger the better.Mkuu bado huko enzi za mwaka 47 ambapo kompyuta ilikuwa inalingana na chumba cha kulala!
Hii ni kwa nchi za kishenzi, shitholes, kama za kiafrika, Asia and latin america.Najua msafara wa Rais ni muhimu kuliko mgonjwa kwenye ambulance, ndio maana Rais akiwa anapita hata ambulance, magari ya zimamoto na mengine ya uokoaji wa uhai was mwanadamu husimamishwa hadi Rais apite.
Hatuwezi kuwaomba mabeberu mkuuNaamini kama waziri akienda kuomba msaada Balozi za South Korea, Japan , USA mara moja ventilators zitaletwa, wenzetu uzalishaji umezidi matumizi.
China siungi mkono hasa baada ya test kits zao kuleta majibu ya uongo.
Pengine waziri atasikia ushauri wetu na kufanyia kazi.
Nimeona na vyuo vikuu vya Cameroon wameanza kutengeneza ventilators, labda na vyuo vya Tz waombe ushauri wa kitaalamu kwa walioweza ili zizalishwe hapa.
.Kuna rais mwingine duniani aliyepata wazo la kutest corona kwenye mapapai?
Haya ndyo majibu yanayotakiwa yanakuwa na hoja nzito bila matusi.Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1, anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.
P
Tanzania hamna habari za uchaguzi, waandishi badala ya kuwa wadadisi mmekuwa wapingaji na watetezi was Baya linalofanywa na mamlaka ya juu.Mkuu Bujibuji, huo utakuwa ni uongo na uzushi.
Kutokana na hali ya afya ya kiongozi wetu, inajulikana, kila msafara wake, huwa kuna gari iko full mass nondo well equipped with everything including ventilators na ECO kufuatia kutumia implant, hivyo usiuamini huo uongo na uzushi.
Tukija kwenye thamani ya uhai, binadamu wote ni sawa, ila due to his importance, yeye ndie raia number 1, anapaswa kulindwa with everything interns with healthy and safety but when it comes to life, uhai wa mtu rest with the Giver of life, ndiye pekee anayelinda maisha yetu, akiamua its its your time, its your time and nobody can do anything to prevent it.
P
Mkuu Mshana, this cannot be true, huu utakuwa ni uongo na na uzushi!.
P
Meko anajaki familia yake na ndugu zake zaidi ndo maana kawapalekea Ventilator mzee wewe pambanaa tu...Kuna vitu vingine kusema ukweli, ukivisikia tu, huhitaji hata kujiuliza mara mbilimbili, you just dismiss them. unajua tuu kabisa, huu ni uongo na uzushi wa kipuuzi kwasababu, it doesn't make any sense at all.
P