Thamani ya Samata yapaa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
kiwango cha ally samatta mbwana kimepaa kutoka pound laki nane mpaka pound milion moja na laki sita samata anaonesha kiwango kikubwa tofaut na mpinzani wake ukiangalia safar ya samata hii ni mara ya kwanza lakin mpinzan wake yupo ulaya tangu 2007 katika timu yake ya kwanza

msimu uliopita samata alifunga mabao matano katika mech 12 mfungaj bora alishinda goli 14 katika mechi 36 ni waza samata ataonesha makubwa
 
Hapo kwenye Simba FC kwanini pameandikwa unknown[emoji1] [emoji1]
*Samatta bado anahitaji juhudi zaidi kutetea nafasi yake.
 
Hapo kwenye Simba FC kwanini pameandikwa unknown[emoji1] [emoji1]
*Samatta bado anahitaji juhudi zaidi kutetea nafasi yake.
karatasi za malipo zililiwa na panya viongoz wakskosa vielelezo
 
Ina maana simba hawajulikan kimataifa

Wameandikwa UKNOWN

POOR MIKIA fc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…