RaiaMbishi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2012
- 252
- 127
- Thread starter
-
- #21
huwezi kudiscuss issue kwa dhana au viashiria ambavyo hujafanyia utafiti, no research no right to speak maaan. Do your homework first.
haki hiyo wamepewa na wanaume wenzio, nakushangaa unavyowaongelea wanaume.
Hakuna wa kulaumiwa maana wote tumetenda dhambi tunasitahili toba ya kweli kutoka kwa Mungu muumbaji.
Utandawazi+unyagoWadau,
Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana, sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo kwa sasa ni low self esteem na low self confidence kwa kina dada, lakini hata huko vyuoni nako ambako tunategemea kina dada zetu wasomi wawe tofauti, wao ndio wamepitiliza kabisa. Hao ndio wanao ongoza kwa mambo yote ya aibu mjini DSM. Makazini ndio usiseme, ni kawaida kwenda chooni na kusikia mke wa mtu anapiga mayowe ya mahaba. Kwa kweli tofauti na zamani, suala la sex halina thamani tena. Kwenye ndoa ndio kabisa, ni jambo la kawaida kwa wake za watu kulala na vidume vyao vya zamani, hata kama huko walipoolewa kuna kila juhudi za kuwaridhisha. Swali langu ni je, hali hii ya ngono ya ovyo ovyo na rahisi rahisi ni nani wa kulaumiwa zaidi kati ya wanaume na wanawake? Kwani humu kumekuwa na thread nyingi sana za kulaumu wanawake hawajatulia, mara nyingine wanaume hawajatulia, lakini huwa hakuna mjadala wa kusaidiana kupata majibu kuhusu chanzo la tatizo hili, hasa kwa kuzingatia kwamba huko nyuma hali haikuwa hivi.
Kwa kweli namba moja wa kulaumiwa ni simu. Huyu kifaa anaitwa simu amekuwa channel au barabara ya kuleta huu mtindo mpya wa ngono. Ukiishaanza kuchat na mwanamke matokeo yake mtaishia kungoana tu hamna kingine.
huwezi kudiscuss issue kwa dhana au viashiria ambavyo hujafanyia utafiti, no research no right to speak maaan. Do your homework first.
tatizo ni simu au moyo wa mwanadamu?
Jeremiah 17:9 "The heart is deceitful above all things, and is desperately wicked; Who can know it?"
Hakuna kilichoongezeka leo ambacho hakikuwepo zamani, sema siku hizi taarifa husambaa kwa kasi zaidi na sehemu za maficho ni chache.
Siku hizi Dar na Arusha ni kama ziko mtaa mmoja, zamani zilitenganishwa na safari ya siku mbili au tatu. zamani tukio la mbeya lingejulikana baada ya miezi siku hizi, haaa.
kinachotokea mwanza husikika mbeya ndani ya dakika chache, hivyo matukio kuonekana mengi zaidi.
Utandawazi at work by Cantalisia
Hahahahaha!umeonaeee!vigezo na masharti kuzingatiwa lol!
Nashukuru ndugu yangu salama lkn?Mwanakwetu, nimepita tu kukusalimia......hujambo?
Wakulaumiwa ni aliyeta haya mambo ya utandawazi coz wake kwa waume tumetake advantage na kujikuta kwenye mapinduzi ya mapnz kutoka kwenye analogi hasa kwenye utongozaji hadi kwenye digitali.