Thamani ya Simba 2018 inalingana na matokeo inayoyapata?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sare , 1-0, 2-1 na timu ndogo vinalingana?
 
W
Tutajie basi thamani ya simba ili tujadili.
Afu ulichokiandika ni umbea tu sidhani kama vinahusiana na technical issue.
Mpira hauko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachezaji 10 ni nonsense. Namungo? Arusha combine?, Kotoko? Uturuki? Mbelgiji? mo? Vs Katwila, wazawa, daraja la kwanza.

Sisi matarajio yetu Kwa Simba ni makubwa sana. Kila Simba ikicheza lazima itafute bao 1 la Mo mdhamini, 1 wachezaji wa kigeni waliosajiliwa Simba, 1 la kocha mbelgiji, 1 la Uturuki, na moja la wachezaji wazawa akina bocco, kichuya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…