Thamani ya Simba Sports Club

Thamani ya Simba Sports Club

uncle

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2007
Posts
325
Reaction score
184
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.

Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.

Nawakilisha
 
Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).

Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.

Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Na kikosi cha utopolo kina thamani ya sh ngapi?
 
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.

Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.

Nawakilisha
Thamani ya simba ni Mo, akitoka mo hiyo thamani unayoiwaza inapotea
 
Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).

Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.

Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Hiyo pesa unapata Harry Kane au KdB, Afrika hakuna mchezaji mwenye hiyo thamani 😂😂
 
Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.

Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.

Nawakilisha
Umeuliza jambo zuri ,lakini subiri siku simba ikifanya vibaya ulete tena hii mada ,kwasasa ni ngumu kupewa majibu ya maana.
 
Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).

Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.

Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
According to transfermarket dhamani ya simba haifiki $5m, Mo ananunua 49% kwa Tsh 20bn. kapigwa
 
Back
Top Bottom