If so ,so what? 🤷Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Tuletee na thamani ya Utopolo.Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
So you know ...If so ,so what? 🤷
nipende kufaham, kwani Unateseka ukiwa wapi mkuu?So you know ...
Chicago, Illinois.nipende kufaham, kwani Unateseka ukiwa wapi mkuu?
Duh!Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Na kikosi cha utopolo kina thamani ya sh ngapi?Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Thamani ya simba ni Mo, akitoka mo hiyo thamani unayoiwaza inapoteaNajiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.
Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.
Nawakilisha
Hiyo pesa unapata Harry Kane au KdB, Afrika hakuna mchezaji mwenye hiyo thamani 😂😂Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Umeuliza jambo zuri ,lakini subiri siku simba ikifanya vibaya ulete tena hii mada ,kwasasa ni ngumu kupewa majibu ya maana.Najiuliza na kutafakari hivi thamani ya Simba Sports Club bado ni billion 20 au itakuwa imeongezeka kufuatia mafanikio waliyopata kwenye michuano ya Cafcl.
Naamini thamani ya klabu za mpira huongezeka kutokana na uimara wa uchezaji na kukua kwa brand ya timu.
Nawakilisha
According to transfermarket dhamani ya simba haifiki $5m, Mo ananunua 49% kwa Tsh 20bn. kapigwaBilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
bilioni 270???Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti).
Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270.
Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn.
Wanamsubiri ManjiNa kikosi cha utopolo kina thamani ya sh ngapi?