R rodrick alexander JF-Expert Member Joined Feb 12, 2012 Posts 16,784 Reaction score 23,312 May 26, 2021 #21 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... tuwekee thamani ya utopolo ya kina Nchimbi na Sarpong
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... tuwekee thamani ya utopolo ya kina Nchimbi na Sarpong
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 May 26, 2021 #22 Kwani thamani ya utopolo ni bilioni ngapi?
mbwe JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 1,174 Reaction score 2,912 May 26, 2021 #23 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Acha bangi wewe unaijua bilion 270 au unatamka tu ,kwahiyo wadad ina thaman Zaid ya tirion ?
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Acha bangi wewe unaijua bilion 270 au unatamka tu ,kwahiyo wadad ina thaman Zaid ya tirion ?
Charles Mandela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2011 Posts 2,752 Reaction score 2,282 May 27, 2021 #24 Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Ila JamiiForums ni raha sana πππ
Kobello said: Bilioni 20 ni 49% (Na hapo kutolewa kizungumkuti). Mchezaji mmoja wa Wydad (goalkeeper) ana thamani ya bilioni 270. Kikosi chote cha Simba kina thamani ya 6bn. Click to expand... Ila JamiiForums ni raha sana πππ
Escrowseal1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2014 Posts 4,618 Reaction score 4,605 May 27, 2021 #25 Kobello said: So you know ... Click to expand... I see