Dollar moja 1$ = 2200 Tzs
Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye ×2
Mfano
U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya ×2 inakuwa 68,000,000 Tzs.
34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
Jamaa usijaze kichwa kuwa kigumu.Hesabu zako haziko sawa, kwa hiyo kanuni hutopata idadi kamili mkuu. $34,000 kwa 2300 = 78,200,000.
Mkuu ninashida nawewe naweza kuja PM mwamba?Mkuu hapo ndio uwezo wangu umeishia siunaona wadau hapo kila mmoja ametoa majibu kulingana na anavyoelewa?
Jaribu na wewe pia kujazia nyama sehemu ambayo unaona kuna mapungufu kadhaa.